Utambuzi wa mabinti wa Mradi wa Afya ya Uzazi-Yombo Vituka Wilaya ya Ilala

Utambuzi wa mabinti wa Mradi wa afya ya uzazi kwa mabinti waliopata mtoto katika umri mdogo hapa Mtaa wa Yombo, kata ya Kiwalani kupitia shirika la UNFPA