kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Ofisi ya Mganga Mkuu wa mkoa wa Shinyanga kwa ufadhili wa UNFPA tumeanza mafunzo ya siku 5 kwa wauguzi na wakunga kuhusu masuala ya huduma rafiki za afya ya uzazi kwa vijana na mabadiliko ya mitazamo hasi kwa wahudumu dhidi ya vijana. Wahudumu hawa wanatoka katika halmashauri 4 za Shinyanga vijijini, Ushetu, Kishapu na kahama mjini. Mafunzo yamefunguliwa na Mganga mkuu wa Mkoa wa shinyanga Dr. Yudas Ndungile.
Kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Ofisi ya Mganga Mkuu wa mkoa wa Shinyanga kwa ufadhili wa UNFPA tumeanza mafunzo ya siku 5 kwa wauguzi na wakunga kuhusu masuala ya huduma rafiki za afya ya uzazi kwa vijana na mabadiliko ya mitazamo hasi kwa wahudumu dhidi ya vijana. Wahudumu hawa wanatoka katika halmashauri 4 za Shinyanga vijijini, Ushetu, Kishapu na kahama mjini. Mafunzo yamefunguliwa na Mganga mkuu wa Mkoa wa shinyanga Dr. Yudas Ndungile.
