Kupitia Mradi wa kuwezesha Mabinti waliopata Mimba katika umri mdogo “First Time Young Mothers” kupitia shirika la UNFPA Tanzania kwa Ufadhili wa Global Affairs Canada, Mkuu wa Miradi Mr Yohana akiendesha zoezi la Utambuzi wa Mabinti katika Wilaya ya Momba kata ya Ndalambo.
Kupitia mradi wa kuwezesha mabinti waliopata Mimba katika umri mdogo “First Time Young Mothers” kupitia shirika la UNFPA kwa Ufadhili wa Global Affairs Canada, Mkuu wa Miradi Mr.Emmanuel Yohana akiendesha zoezi la Utambuzi wa Mabinti katika Wilaya ya Momba kata ya Ndalambo, kwa maandalizi ya mafunzo ya stadi za maisha na stadi za kazi hapo baadae.
Shukurani kwa UNFPA na Global Affairs Canada kwa kuwezesha mabinti Kufikia ndoto zao.






