Kupitia Mradi wa Kuwezesha Mabinti Waliopata Mimba katika umri mdogo “First Time Young Mothers” kupitia shirika la UNFPA Tanzania kwa Ufadhili wa Global Affairs Canada.

Kupitia Mradi wa kuwezesha mabinti waliopata Mimba katika umri mdogo “First Time Young Mothers” kupitia shirika la UNFPA kwa Ufadhili wa Global Affairs Canada, iliendelea na zoezi la Utambuzi wa Mabinti katika Wilaya ya Momba kata ya Chitete ( Jumanne 13/05/2025),Kata ya Kamsamba ( Jumatano 14/05/2025) na Kata ya Ivuna na Mkomba( Alhamis 15/05/2025), kwa maandalizi ya mafunzo ya stadi za maisha na stadi za kazi hapo baadae. Shukurani kwa UNFPA na Global Affairs Canada kwa kuwezesha mabinti Kufikia ndoto zao.