#MradiwaPTE katika mahafali ya darasa la VII katika shule ya msingi Buza na Kheri Missinga na tulipata nafasi ya kuongea na kuwaelimisha wazazi kuhusu maswala ya ukatili. Mgeni rasmi alikuwa Afisa Elimu Msingi ndugu Abdallah Buheti. WeWorld Onlus WeWorld Global